Phesto

Tafakari Upendo

May 21, 2025

Wimbo:Tafakari Upendo
Uinjilisti Kijitonyama

Tafakari upendo, upendo wa Mungu,
Anatupenda wanadamu, nasema
Upendo upendo wa Mungu, anatupenda wanadamu.
Tafakari mapana, mapana ya pendo,
Yapita kina cha bahari, nasema upendo upendo wa Mungu
Anatupenda wanadamu

Hata ukichafuka kiasi gani pendo lipale pale
Hakuna dhambi asiyoweza kusamehe pendo la ajabu
Upendo hauna kipimo, anatupenda sote, anatupenda, watoto wake, Mungu anatupenda

Twiga na urefu wake msituni si kama mwanadamu
Chui na uzuri wa madoa yake si kama mwanadamu
Tausi na uzuri wake, si kama mwanadamu
Anatupenda, watoto wake, Mungu anatupenda.

Article by Phesto

Lorem ipsum amet elit morbi dolor tortor. Vivamus eget mollis nostra ullam corper. Natoque tellus semper taciti nostra primis lectus donec tortor fusce morbi risus curae. Semper pharetra montes habitant congue integer nisi.

Leave a Comment