TULIA
Tulia tu tulia kwa bwana (tulia tu)japo pepo zivume tulia ( tulia tu)
1. Pepo tufani zijapovuma zikivuma juu yako, unapofika kukata tamaa YESU anakuona, hata ukikosa marafiki, inua uso wako umtazame YESU katika vyote ni ngome ni ngao yako
2. Kuwa na YESU moyoni mwako unapata amani. hofu na mashaka vyatoweka tulia kwa YESU tu, Jenga juu ya mwamba wake YESU juu ya mlima sayuni hutatikisika siku zote ukitulia kwa YESU tu
Mwl KIBASO