Tumekesha Bure
Tumekesha bure kwa pambazuka
tazama hakuna samaki
jaribu tena utaona yote yawezekana x2
Hawakuamini samaki tele
kwa Yesu yanawezekana
jaribu tena utaona yote yawezekana x2
Jaribu tena… Jaribu tena… Jaribu wala usichoke utaona yawezekana kwake Yesu yawezekana x2