Tushike
Tushike Bwana tushike kwa mkono wako tuvuvie roho mtakata atufundishe pendo tupendane pendo la kweli litokalo juu sauti zetu ziwe na thamani tukuitapo tusikie x2
Leo twaliita pendo lile lako la kweli sio pendo la kinafiki lile la ibilisi
ili tuifanye kazi kwa umoja toka juu tutumike uupendavyo kama wale thenashara
Tushike bwana tushike kwa mkono wako tuvuvie roho mtakata atufundishe pendo tupendane pendo la kweli litokalo juu sauti zetu ziwe na thamani tukuitapo tusikie x2
Pendo lako Mungu tupate neno lako liwe taa Roho wako mtakatifu kiongozi wetu mkuu mataifa wakujue kwamba we we ndiwe Mfalme ukuu na uweza wako watawala milele
Tushike bwana tushike kwa mkono wako tuvuvie roho mtakata atufundishe pendo tupendane pendo la kweli litokalo juu sauti zetu ziwe na dhamani tukwitapo tusikie x2