TWAAGANA
1. Leo twaagana, marafiki twatengana kwa kila Jambo na wakati wake tumshukuru Mungu kwa mema mlotutendea kwa kila Jambo na wakati wake x 2
Chorus: tunatengana marafiki twaagana twawaombea baraka za Mungu katika mapambano tuonane juu mbinguni kwa kila Jambo na wakati wake
2. Tusipoonana katika dunia hii na tuonane kwenye utukufu kwenye kiti cha enzi hatutatengana Tena kwa kila Jambo na wakati wake
Mwl KIBASO