Ufanyeni Mti
Ufanyeni mti kuwa mzuri
Na matunda yake kuwa mazuri
Au ufanyeni mti kuwa mbaya
Na matunda yake kuwa ni mabaya
(Kwa maana kwa matunda yake mti hutambulikana )x2
Enyi wazao wa nyoka, wawezaje kunena mema mkiwa wabaya
Maana kinywa cha mtu huyanenayo yaujazayo moyo wake eeh x2
Ufanyeni mti kuwa mzuri
Na matunda yake kuwa mazuri
Au ufanyeni mti kuwa mbaya
Na matunda yake kuwa ni mabaya
Kwa maana kwa matunda yake mti hutambulikana x2
Mtu mwema katika akiba njema hutoa mema
Mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya
Basi basi basi nawaambia x2
Kila neno lisilo maana atakaloliena mwanadamu
Atatoa hesabu ya neno hilo siku ile ya hukumu
Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki
Kwa kuwa kwa maneno yako ndugu utaja kuhukumiwa
SOLO:
Ufanyeni mti kuwa mzuri
Na matunda yake kuwa mazuri
Au ufanyeni mti kuwa mbaya
Na matunda yake kuwa ni mabaya
(Kwa maana kwa matunda yake mti hutambulikana )x2
Kila neno lisilo maana atakalolinena mwanadamu
Atatoa hesabu ya neno hilo siku ile ya hukumu
Basi basi basi nawaambia x2
Kila neno lisilo maana atakaloliena mwanadamu
Watatoa hesabu ya neno hilo siku ile ya hukumu
Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki
Kwa kuwa kwa maneno yako ndugu utaja kuhukumiwa