UJIPELELEZE
Ujipeleleze ndugu yangu moyoni mwako
Kama umekwisha kukamilika x2
Bwana anawaita, wenye mizigo wote
Wapumzike kwake, Bwana awasamehe
Yeye ni mwaminifu, asamehe makosa
Yote ukijutia Bwana awasamehe
Bwana Asema (Njooni kwangu nyote msumbukao)
Bwana Asema (Njooni kwangu nyote msumbukao)
Inasikitisha kuona watu watenda dhambi
Yesu alitumwa tutoke dhambini x2
Ndugu Bwana Yesu, anabisha moyoni mwako
Ngugu mkaribishe moyoni mwako