UMEPANDA CHATI
1.Wasema moyoni , umepanda chati
Jihadhari ndugu usijeanguka x2
2. Wengi walisema wamepanda chati,
Leo wako wapi wameshatoweka x2
CHORUS:
Mtafute Bwana kila siku
Upande chati ya kiroho
Wanadamu wanapokuona wamuone Yesu maishani mwako.
Yote ya dunia yanapita ndugu.