Wimbo: UTASEMA NDIO
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama
Mtunzi: Tutunfye Joel Mwamugobole
Wote: Kila goti litapigwa kwake Yesu
Na ulimi utakiri jina lake x2
Kila kiumbe chenye uhai
Kitalikiri jina la Yesu
Wote: Utasema ndiooo Utasema Yes
Solo: Kama wewe bado unabisha muulize sauli
Wote: Utasema ndio, Utasema Yes
Solo: Kama wewe bado unabisha muulize zakayo
Wote: Utasema ndio, Utasema yes
Solo: Kama wewe bado unabisha muulize Farao
Wote: Utasema ndio, Utasema yes
Wote: Yesu peke ndiye njia kweli tena njia ile ya uzima,
mtu hawezi fika kule kwa baba ila kwa njia yake yeye X2
Wote: Ee Yesu, Nitasema ndio kwako,eeh Yesu
Solo: Hakuna mwingine kama wewe
Wote: Eee Yesu, Nitasema ndio kwako, eeh Yesu
Solo: Umeleta ukombozi duniani
Wote: Eee Yesu Nitasema ndio kwako, eee Yesu
Wote: Litapigwa, litapigwa, litapigwa kwake Yesu litapigwa
Watapiga, watapiga, watapiga kwake Yesu watapiga
Tutapiga, tutapiga, tutapiga kwake Yesu tutapigaaaaaaaa!!