Uwe Mwaminifu
Uwe mwaminifu, kwa yalo madogo
Ndipo utaweza yaliyo makubwa x2
Uwe mwaminifu
Yupi mtumishi, atayeweza
Kutumikia, mabwana wawili
Chagua moja, kama ni Mungu au ni mali
Utayemtumikia x2
Low: Yupi mtumishi atayeweza
High: Chagua moja, kama ni Mungu, au ni mali
All: Utayemtumikia
High: Yupi mtumishi atayeweza, kutumikia, Mabwana wawili
Low: Chagua moja, kama ni Mungu, au ni mali
All: Utayemtumikia
Uwe mwaminifu, kwa mali za watu
Ndipo utaweza, kwa mali ya Mungu x2