UZITO WA MSALABA
1. Hukujua uzito wa msalaba
Hukujua gharama ya msalaba
Hukujua fedheha ya msalaba
Aliyoibeba mwokozi Yesu (Bwana wetu)
:/; Akaachwa uchi msalabani
Akalia kwa sauti kuu
Baba yangu mbona waniacha
Huo ndio uzito wa msalaba×2
2. Kwamba ni tani ngapi hukujua
Kwamba ni kilo ngapi hukujua
Jambo moja hakika ninajua
Msalaba ulimwangusha chini×op