VIJANA
Vijana wa dunia hii wengi wamemsahau Mungu
Na Mungu wa Mbinguni bado anapenda vijanaaaa
Vijana (vijana) wengii (ooo wengi) Wamemuasi Mungu (asi Mungu)…
Vijana wengi (vijana) Wapenda ya dunia (ya dunia)….
Vijana wengi (vijana) Dunia itawatupa jehanamu x2
Ibada kanisani wao wanaona ni bureee
Neno lahubiriwa mioyo yao ni migumuuuu.
Achana na tamaa dunia itakupotezaaa
Muamini Bwana Yesu upate uzima milele