WAHITAJI
1. Wahitaji kukutana na Bwana
Kwa wakati ulio kubalika
Na mahali palipo kubalika
Hekaluni mwake,
Wahitaji kujenga nyumba yake
Apatekubariki watu wake
(Harambee imefika ooh kwako x2)
% Toa ndugu kwa imani
Tuijenge nyumba yake
Hapo ndipo tutakutana
Na Bwana kumwabudu x2
2. Kama yupo mtu mwenye huzuni
Mpe pole kwa Yesu nifuraha
Hekaluni mwa Bwana ni furaha
Tunapo mwabudu
Toa ndugu Bwana akubariki
Usihofu ya kesho ayajua
(Yote ni Mali yake ee Bwana ×2)