Wakapiga kelele
Bass: Wakapia kelele wakisema asulubiwe
Wote:
Sababu ya dhambi zangu na dhambi zako ndizo zilimuua
Wakapiga kelele wakisema asubulubiwe, ni dhambi zetu ndizo zilimuua
Ni huzuni kweli, ni huzuni kweli
Umekosa nini Bwana wangu Yesu
Duniani kote wamebaki kimya,Kwa kuteswa kwako, umetuokoa x2
Bass: Walimtemea mate, wakampiga mijeledi
Wote:
Pilato kasema wazi, sioni hatia kwake, nimtendeeje
Wakapiga kelele wakisema asulubiwe, ni dhambi zetu ndizo zilimuua x2
Ni huzuni kweli, ni huzuni kweli
Umekosa nini Bwana wangu Yesu
Duniani kote wamebaki kimya,Kwa kuteswa kwako, umetuokoa x2
Bass: Yesu umetufia, kazi umeimaliza
Wote:
Imebaki kwetu sasa kuifuata njia tufike kwako, walipiga kelele wakisema usulubiwe
Ni dhambi zetu ndizo zilikuua
Ni huzuni kweli, ni huzuni kweli
Umekosa nini Bwana wangu Yesu
Duniani kote wamebaki kimya,Kwa kuteswa kwako, umetuokoa x2