WALIPOFIKA KTK NCHI YA MISRI
1. Walipokuwa katika nchi ya Misri (waliteswa)
Walifanywa watumwa kwa miaka mingi (waliteswa)
Walibeba mizigo waisraeli, wengi wao walikufa huko Misri
Walilima mashamba waisrael, Kazi zote za kitumwa walizifanya x2
% Walilia walilia kilio chao kilimgusa Mungu
Asema nimeona mateso hayo wanayo yapata x2
Mungu huwasikiliza wanyonge wanaomlilia siku zote
Atakujibu nawe ndugu yangu kilio chako amekisikia x2
2. Unapokua kwenye utumwa wa dhambi unateswa
Wafurahia maisha yako ya dhambi unateswa
Wateswa bila kujua warudi misiri
Dhambi zinekuharibu hujitambui
Waitwa majina mengi waona ni sawa
YESU amekuja kwako akuokoe x2