WATAFUTA AMANI
1.Watafuta amani bila YESU yote no bure x 2
Inueni macho yenu, tazameni dunia a amani imetoweka twaishi kwa mashaka x 2
Chorus Ndugu wauana ovyo Nani wa kukomesha haya ni YESU mwenye huruma kwake amani tele x 2
2. Wanaposema amani bila YESU ni bure e heri waliompokea Wana amani tele x 2
Mwl KIBASO