WATALIA YOWE
1. Siku hiyo Bwana akirudi kutakuwa na utengo wateule wakitabasamu wenye dhambi ni kilio
Chorus: Watalia yowe yowe x 2
Ni kilio na kusaga meno bwana atakaporudi
2 Bwana wangu utakaporudi unikumbuke enzini watakapoitwa wateule nisiaibike bwana
Mwl KIBASO