Wokovu wa bwana
Wokovu wa bwana wapatikana bure oooh
Wapatikana bure injili yake bwana yahubiriwa duniani kote
Neema ya bwana tumeipewa bure ooh
Tumeipewa bure kwa damu ya dhamani msalabani yote yalikwisha
Sasa tumtumikieni Mungu wetu eee (milele na milele) Roho mtakatifu juu yetu eee (tuitende kazi.x2) wanakwaya tujitoeni kutenda tuihubiri injili mataifa wamjue watu waokolewe. X2
Kila kwenye pumzi na amsifu Bwana ( naamsifu Bwana )matari na kucheza jina la Bwana naliimidiwe
Shambani mwa Bwana mavuno ni mengi (Mavuno ni mengi)lakini watendaji shambani wavunaji ni wachache