YA KESHO
1. Ya kesho siyatambui yote ni Giza kwangu napapasa sitambui yamejificha kwangu ya kesho kwangu ni Giza ni mapenzi ya Bwana ya kesho siyatambui yote ni Giza kwangu
Chorus: ya kesho siyatambui ni mkononi mwa bwana ya kesho siyatambui yote ni Giza kwangu
2. Ya kesho hayapo kwangu yapo kwa bwana wangu maisha pia mauti yote kwangu ni Giza maisha Kama maua yanyauka kitanbo ya kesho siyatambui yote ni Giza kwangu
Mwl KIBASO