YAACHENI MAGUGU
1 Yaacheni magugu yakue pamoja na ngano msithubutu kuyatoa mkaingoa na ngano yangu viacheni, viacheni vikue pamoja x 2
Chorus; wakati ukishafika kuivuna
( Kuivuna ngano yangu mvunaji ataitenga ngano na hayo magugu, magugu atayafunga Kisha kuyachoma Moto) x 2
Bwana YESU ni pepeto atapepeta kweli pepeta
Bwana YESU ni chekeche atachekecha kweli chekecha
Watalia x 2 wake waliochanganya wenye dhambi watalia kweli wataomboleza
Ni furaha kwao wote watembeao na YESU ni kicheko wataimba milele